Shule ya makanjiro sekondari ikiwa hatua ya boma kazi ya kupandisha kuta za juu imefanyika tarehe 18-19/11/2021
Mradi wa ujenzi madarasa 2 Shule Shikizi Nachiulaga Ikiwa katika hatua ya kupandisha kuta za msingi imefanyika tarehe 17-19-/11/2021
Maendeleo ya ujenzi shule shikizi ys chiundu Ikiwa katika hatua ya ujazaji kifusi iliyofanyika tarehe 17-18/11/2021
Ujenzi wa madarasa shule ya sekondari Chienjele ikiwa katika hatua ya ujazaji mawe iliyofanyika tarehe 16/18/11/2021
ujenzi wa Kituo Shikizi cha Ligunje Ikiwa katika hatua ya kumalizia msingi iliyofanyika tarehe 17-19/11/2021
Ujenzi wa dasara shule ya sekondari Ruangwa ikiwa katika hatua ya umaliziaji boma kazi iliyofanyika 18-19/11/2021
Shule ya Sekondari Nambiranje (Madarasa 2 na Ofisi - Miradi ya COVID-19 Ikiwa hatua ya kujaza kifusi kazi iliyofanyika tarehe 17-19/11/2021
Ujenzi wa shule shikizi chiundu ukiwa katika hatua ya kupandisha tofaul katika msingi 20/11/2021
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa