Hafla ya uzinduzi wa zoezi la utoaji mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa itafanyika siku ya Ijumaa tarehe 07.02.2025, katika ukumbi wa Ruangwa Pride Hotel, Mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassan Ngoma.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa