• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Wasaidieni warudi shule- Mgandilwa

Posted on: March 30th, 2019

katika kuendeleza kusaidia watoto wa kike Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Hashim Mgandiliwa  amewataka Chama cha Wanahabari wanawake Tanzania (TAMWA) kuchukua jukumu la kuwasaidia kuwaendeleza kimasomo watoto walioacha shule na wanania ya kuendelea na masomo.

Amesema hayo leo Machi 30/ 2019 wakati wa muendelezo wa  kikao cha kujadili jinsi ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto kilichofanyika ukumbi wa Rutesco mjini Ruangwa.

"TAMWA bebeni hawa watoto wenye nia  ya kurudi shuleni hawajachelewa wanaweza kusaidiwa na wakufikia malengo yako kama watoto wengine waliopata bahati ya kusoma kwa wakati" amesema Mgandilwa.

Pia amewataka TAMWA kuhakikisha katika kila mikutano yao wanayofanya wanahamasisha kufanyika kwa unyago wakati wa likizo ili kutomnyima haki ya mtoto kupata elimu

"Serikali haipingi unyago mimi pia sipingi unyago hizo ni mila na desturi zipo katika kila kabila Nchini ila mfanye jambo hilo kwa kufuata maelekezo yanayotolewa narudi serikali haina tatizo na mila na desturi " DC Mgandilwa

"Hakuna ujanja zaidi ya elimu Elimu ndiyo kila kitu hata mie kuwa hapa ni kwasababu ya elimu sasa mkitoka hapa nyie wanafunzi mliopata mafunzo haya mkawe mabalozi kwa wenzenu muwaeleze umuhimu na faida ya elimu"amesema.

Naye Mkurugenzi wa TAMWA Bi Rose Reuben amewataka watoto wakike kuamka na kutambua thamani yao na kuacha tabia za kuiga mambo yasiyo na maana katika maisha yao.

"Mkianza kujitambua nyie hata watu wengine wataanza kuwatambua jisimamieni katika vitu vyenye manufaa umeshindwa kumaliza masomo kwa ajili ya ujauzito basi msimamie mtoto uliyenaye aje kuwa kiongozi mkubwa baadae" Amesema Bi Rose

Vile vile Mwanafunzi amina Omari makota ameuomba uongozi kuwachukulia hatua za kisheria wazazi ambao hawawapi ushirikiano watoto wanaoitaji kusoma  anapeleka malalamiko sehemu huska basi achukuliwe hatua mzazi huyo

amesema siyo watoto wote wanaoacha masomo ni kwasababu hawataki kusoma wapo wanaoacha kusoma kwasababu wazazi wao hawawatimizi mahitaji muhimu yanayoitajika shuleni wazazi kama hawa ni wakuwachukulia hatu

(Mwisho)

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA RUANGWA AHIMIZA USAFI NA MAZOEZI KWA AJILI YA AFYA BORA

    May 10, 2025
  • SMAUJATA YAENDESHA ELIMU DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA KWA WASICHANA RUANGWA

    May 09, 2025
  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa