• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

TUMETEMBEA KM 1500 KUTOKA KALIUA KUJIFUNZA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI- MHE. DC MONGELLA

Posted on: December 16th, 2024

Tumetembea km 1500 kutoka Kaliua Tabora kujifunza mfumo wa stakabadhi ghalani Kwenye Wilaya ya mfano Ruangwa”


Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya ya Kaliua Dkt Gerald Mongella leo 16 Dec2024 wakati wa ziara ya kujifunza mfumo wa stakabadhi ghalani wilayani Ruangwa


“ Tumekuja kujifunza hapa maana tunapakuanzia kwakua sisi ndo wazalishaji wakubwa wa tumbaku Tanzania kwani tuna amcos 173 tutazitumia hizo kuanzisha mfumo huu kuwa tija katika jamii.”amesema Gerald Mongella


Naye mkurugenzi wa halmashauri ya Kaliua Jerry Mwaga amesema wameshawishika kujifunza mfumo huo baada ya kuona Halimashauri ya Wilaya ya Rungwa inanufaika  na mapato pia mfumo huo kwao utasaidia kujua takwimu ya wakulima kupitia mazao tofauti na halimashauri kukusanya mapato yake na kujiendesha vizuri.


Aidha Mwenyekiti wa Halimashauri ya Wilaya ya Kaliua Mh Japhael Lufungija amebainisha kua mara kadhaa wananchi wa Kaliua wanashindwa kupata manufaa kulingana na uuzaji holela wa mazao kwa madalali.


“Kaliua tunalima mazao mchanganyiko ya mpunga,karanga, Mahindi, tutaenda kuyaweka kwenye mfumo nasisi kama viongozi tumeona tuwakilishe wananchi tujifunze na tukatoe elimu kwa wananchi wetu jinsi mfumo unavyoendesha ili tukalete tija kwa wakulima kwakuwa wanauhitaji katika uuzaji wa mazao“amesema Lufungija


Awali akitoa mafunzo Kaimu Mkurugenzi Halimashauri ya Wilaya ya Ruangwa Nolasco Kilumile ambae ni Afisa kilimo amesema mfumo huo hadi kuleta manufaa katika jamii unahusisha Mkulima, Msafirishaji,muendeshaji wa Ghala,amcos, vyama vikuu vya ushirika,Mnunuzi, Taasisi za fedha , pia  Bodi ya zao husika pamoja na mfumo wa TMX ambao ndio unasimamia uuzaji wa mazao kwa sasa Tanzania.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA RUANGWA AHIMIZA USAFI NA MAZOEZI KWA AJILI YA AFYA BORA

    May 10, 2025
  • SMAUJATA YAENDESHA ELIMU DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA KWA WASICHANA RUANGWA

    May 09, 2025
  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa