Tafadhali kumbuka kuwa tarehe rasmi ya kupokea ratiba za kampeni kutoka kwa vyama vya siasa ni 16 Novemba 2024. Vyama vyote vinahimizwa kuwasilisha ratiba zao kwa wakati ili kuruhusu maandalizi bora ya shughuli za kampeni.
Ushirikiano wenu katika kufuata muda huu ni muhimu kwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na utaratibu.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa