Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa anasikitika kuwatangazia kifo cha Mtumishi wa Idara ya Elimu Msingi Mwalimu Grace Ntila wa shule ya Msingi Namakonde kilichotokea leo tarehe 30, Julai, asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapata matibabu. Bwana alitoa, Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa