Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Mhe. Hassan Ngoma, akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Victoria Mwanziva leo Mei 28, 2025. Zoezi hilo la mapokezi limefanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Namichiga A, tayari kwa kuanza mbio za Mwenge ndani ya Wilaya hiyo.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa