• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Ruangwa yapokea Mil 940 za Ujenzi wa Shule za sekondari.

Posted on: December 8th, 2021

Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imepokea kiasi cha  shillingi millioni 940 kwa ajili ya Ujenzi shule za sekondari Mbwemkuru na Nanganga.

Hayo yamesemwa na  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya hiyo Ndg Frank Chonya wakati wa mahafali ya kidato cha nne yashule ya sekondari Kassim Majaliwa yaliyofanyika leo (08.12.2021) shuleni hapo.

"Katika fedha hizo kila shule imetengewa shilingi 470 na ujenzi utaanza mara moja baada ya taratibu zote kukamilika" Amesema Chonya.

Kupitia mahafali hayo Mkurugenzi Chonya amewaahidi wahitimu wote watakaopata daraja la kwanza kwa  alama 7 hadi 9 gharama zao za masomo ya kidato cha tano na sita zitalipwa na Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa.

"Yoyote atakayefaulu kwa ufaulu huo asiwe na wasiwasi kwani ataenda kidato cha tano bila wasiwasi kwa sababu gharama zote za kujiunga na ngazi hiyo tutazitoa sisi Halmashauri ya Wilaya" Amesisitiza Chonya.

Katika Mahafali hayo Diwani wa kata ya Nachingwea Mhe. Mahmoud Sadiki amewaasa wahitimu hao watulie na kusubiri matokeo  badala ya kuzurula.

"Kuna wahitimu mmeanza tabia mbaya hivyo naomba muache tabia hizo kwa sababu nyie bado hamjamaliza subirini matokeo muendelee na masomo" Amesema Mhe. Sadiki.

Mhe. Sadiki ametoa rai kwa wazazi kuachana na mipango ya kuwaozesha wahitimu hao ambapo badala yake amewashauri kuanza kuweka fedha zitakazosaidia kuwasomesha watoto wao baada ya kufaulu kujiunga na kidato cha tano.

Katika hatua nyingine, Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inatarajia kuanza kutekeleza ujenzi wa Kituo cha Afya cha kata ya Namichiga ambacho kitajengwa kwa thamani ya shilingi milioni 400, fedha za mapato ya ndani ya mwaka 2021/2022 zilizokusanywa na Halmashauri hiyo.

Ujenzi wa shule hizo na Kituo cha Afya cha Namichiga ni moja ya jitihada za dhati zilizofanywa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano  Mhe. Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Ruangwa.

MWISHO.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA RUANGWA AHIMIZA USAFI NA MAZOEZI KWA AJILI YA AFYA BORA

    May 10, 2025
  • SMAUJATA YAENDESHA ELIMU DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA KWA WASICHANA RUANGWA

    May 09, 2025
  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa