• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

RUANGWA YAPATA MILIONI 965.9 KUTEKELEZA UJENZI WA MIUNDOMBINU ELIMU AWALI & MSINGI KUPITIA MRADI WA BOOST

Posted on: May 6th, 2023

Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi imepokea 965,900,000/= Milioni mia tisa na sitini na tano na laki tisa, kutoka Serikali kuu kupitia mradi wa kuboresha upatikanaji wa fursa sawa katika ujifunzaji bora wa Elimu ya Awali na Msingi Tanzania Bara.

Kufuatia hatua hiyo mkuu wa wilaya ya Ruangwa Hassan Ngoma ameagiza mkurugenzi wa Halmashauri hiyo na watendaji kuhakikisha miradi inasimamiwa kwa mujibu wa sheria na utaratibu uliowekwa na kwa watakaokiuka hatua kali kuchuliwa dhidi yao.

Akizungumza Mapema mei 6, 2023katika kikao maalumu kilichohusisha wanakamati wanaosimamia utekelezaji wa mradi wa BOOST wilaya ya Ruangwa, mkuu wa wilaya hiyo Hassan Ngoma ameagiza kuwapo kwa nyaraka zote katika kila eneo mradi unapotekelezwa kwa mujibu wa muongozo na kusisitiza kuwa ni muhimu kila kinachofanyikaa katika mradi kiwekewe katika kumbukumbu.

‘Naagiza katika kila mradi kuwe na mafaili ya kuweka kumbukumbu za kila kinachofanyika manunuzi na kila kitu mimi nikija na timu yangu wengine watakagua jengo na wengine watavamia nyaraka ili kujiridhisha’ alisema Ngoma

Katika hatua hiyo pia Mhe,Ngoma amewataka watendaji kuwa mfano kujenga miradi yenye ubora huku mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya hiyo Frank Chonya akitangaza fursa kwa wananchi watakaoweza kufyatua Tofali.

“kama kutakua na wafytuaji Tofali wenye uwezo wa kufyatua tofali zenye ubora sisi tutaruhu wao ndio watumike aktika kila eneo la mradi, kwahiyo vijana wajitokeze waonyeshe uwezo wao wapate kazi zitakazowaongezea kipato” alisema Chonya

Kwa upande wake Afisa elimu Awali na Msingi wilaya ya Ruangwa Mwl George Mbesigwe amesema kukamilika kwa miradi hiyo kutatatua changamoto ya miundombinu ambayo awali ilikua ikikabili baadhi ya maeneo huku Baadhi ya wananchi wakiwamo Glaciano Malibiche na Saidi Kauchumbe wakitoa angalizo la ukadiliaji sahihi wa mahitaji ya vifaa vya kujengea katika usimimazi wa miradi hiyo kutokana na uzoefu wa miradi iliyopita kuwapo kwa baadhi ya vifaa vilivyobaki ikiaminika ilitokana na ukadiliaji uliozidi mahitaji.

Mradi wa BOOST katika wilaya ya Ruangwa unategemewa kutekeleza ujenzi wa vumba vya madarasa 9, Matundu ya vyoo 12 pamoja na ujenzi wa shule 2 mpya zenye madarasa ya mondo mmoja mmoja.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA 27 MEI 2025 May 27, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • TAARIFA KWA UMMA

    June 04, 2025
  • WANAFUNZI RUANGWA WAIBUKA KIDEDEA USAFI NA UNADHIFU UMISSETA 2025 MKOA WA LINDI

    June 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU WATEMBELEA MRADI WA UHIFADHI WA MAZINGIRA NA NISHATI SAFI WANDORWA

    May 28, 2025
  • RUANGWA YAPOKEA MWENGE WA UHURU 2025 KUTOKA LINDI MANISPAA

    May 28, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa