• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

RUANGWA YAKARIBIA KUWA MANISPAA KUTOKANA NA KASI YA MAENDELEO — MKURUGENZI CHONYA

Posted on: May 20th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Ndugu Frank Fabian Chonya, amesema kuwa Halmashauri hiyo inakaribia kupata hadhi ya Manispaa kutokana na kasi ya maendeleo yanayoendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo.


Akizungumza usiku wa kuamkia Mei 21, 2025, kwenye sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani zilizofanyika katika Ukumbi wa Ruangwa Pride Hotel, Ndugu Chonya  ambaye alikuwa mgeni rasmi amesema hatua hiyo ni matokeo ya juhudi kubwa za Serikali na ushirikiano wa wananchi katika kuchochea maendeleo.

“Kama mnavyoona, Ruangwa inabadilika kwa kasi. Ujenzi wa miundombinu, huduma bora za kijamii, na upanuzi wa mji, yote haya ni viashiria kuwa Ruangwa inaelekea kuwa Manispaa muda si mrefu,” amesema Ndugu Chonya.


Aidha, amewapongeza wauguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kwa kuadhimisha siku yao kwa namna ya kipekee na kuwataka waendelee kuwa na weledi na kujituma katika kuhudumia wananchi.

Ameongezaa kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuboresha mazingira ya kazi na maslahi ya watumishi wa afya na sekta nyingine, hivyo ni wajibu wa watumishi hao kulipa hilo kwa kufanya kazi kwa bidii na uadilifu.


Katika hotuba yake, Ndugu Chonya amemshukuru Mbunge wa Jimbo la Ruangwa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Ruangwa na mwelekeo wake wa kuwa mji wa kisasa.

Kwa upande wao, wauguzi wa Wilaya ya Ruangwa wameushukuru uongozi wa Halmashauri kwa kuwaunga mkono katika majukumu yao ya kila siku, na wameahidi kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuzingatia maadili ya taaluma yao.

Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani, ambayo hufanyika kila Mei 12, hutumika kama jukwaa la kutambua mchango mkubwa wa watumishi wa afya katika jamii na kuwakumbusha nafasi yao muhimu katika kuboresha maisha ya wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA 27 MEI 2025 May 27, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • WANAFUNZI RUANGWA WAIBUKA KIDEDEA USAFI NA UNADHIFU UMISSETA 2025 MKOA WA LINDI

    June 01, 2025
  • MWENGE WA UHURU WATEMBELEA MRADI WA UHIFADHI WA MAZINGIRA NA NISHATI SAFI WANDORWA

    May 28, 2025
  • RUANGWA YAPOKEA MWENGE WA UHURU 2025 KUTOKA LINDI MANISPAA

    May 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAZINDUA MRADI WA MAJI MPARA WENYE THAMANI YA TSH MILIONI 325

    May 28, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa