Wanafunzi washiriki mashindano ya UMISSETA 2024 kutoka Wilaya ya Ruangwa wameibuka washindi katika mchezo wa Sanaa za ndani kwa ngazi ya Mkoa.
Sanaa za ndani inajumuisha ngoma za asili na muziki wa kizazi kipya.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa