Mashindano ya UMISSETA 2024 katika ngazi ya Mkoa yanaendelea leo Juni 8, 2024 katika viwanja vya Ilulu, ambapo Ruangwa imekuwa mshindi wa riadha za wasichana za mita 200.
Mwanafunzi aliyeshinda riadha hizo ni Kuruthumu Alawi kutokea Shule ya Sekondari Mnacho wilayani Ruangwa.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa