Kufuatia fainali ya mpira wa Pete (Netball) wasichana katika Mashindano ya UMISSETA 2024, timu ya Ruangwa imeibuka na ushindi mnono wa magoli 36 kwa 31 dhidi ya timu ya Wilaya ya Kilwa na kufanya Ruangwa kuwa ndio timu pekee kutofungwa katika mashindano hayo.
Mchezo huo umechezwa leo Juni 8, 2024 katika viwanja vya Ilulu mkoani Lindi.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa