Maelfu wajitokeza Kilimahewa, Ruangwa leo Juni 11 kushuhudia uzinduzi wa Lindi Mining Expo 2025 – tukio kubwa la kihistoria linalowakutanisha wadau wa madini kutoka ndani na nje ya nchi.
Maonesho haya ya siku nne yanayotarajiwa kufikia tamati Juni 14, yamevuta wachimbaji wakubwa na wadogo, wawekezaji, wataalamu wa mazingira, taasisi za kifedha, watafiti na wananchi wanaosaka fursa za kiuchumi kupitia sekta ya madini.
Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inawaalika kutembelea banda lake – ujionee fursa lukuki za uwekezaji katika madini, kilimo, ardhi, viwanda na utalii.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa