• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

RUANGWA DC YASHIKA NAFASI YA 13 KITAIFA KWA UFAULU WA DARASA LA SABA 2024

Posted on: June 20th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa imetajwa kuwa ya 13 kitaifa kwa ufaulu wa Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE) mwaka 2024, kwa mujibu wa vigezo vya Viashiria Muhimu vya Utendaji (Key Performance Indicators - KPIs), ikihusisha shule za Serikali pekee.


Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 20 Juni 2025, ikiwa ni matokeo ya jitihada endelevu zinazofanywa na Halmashauri hiyo katika kuboresha sekta ya elimu ya msingi.


Aidha, katika kutambua mchango mkubwa uliowezesha mafanikio hayo, Afisa Elimu wa Awali na Msingi wa Wilaya ya Ruangwa, Mwl. George Mbesigwe, amekabidhiwa cheti maalum kama ishara ya pongezi na kutambua juhudi za Halmashauri katika kuimarisha usimamizi wa taaluma shuleni.

Vilevile, cheti hicho ni sehemu ya motisha kwa viongozi wa elimu ngazi ya Wilaya wanaoonesha matokeo chanya katika kuinua viwango vya ufaulu, hasa kwa kuzingatia vigezo vya kitaifa vya tathmini ya utendaji.


Halikadhalika, nafasi hii ya 13 kitaifa inaiweka Ruangwa katika orodha ya Halmashauri zinazofanya vizuri nchini, na hivyo kuwa kielelezo cha mafanikio ya uwekezaji wa Serikali kwenye elimu ya msingi kupitia uimarishaji wa miundombinu, vifaa vya kujifunzia na mazingira bora ya kufundishia.


Kwa ujumla, mafanikio haya yanadhihirisha mshikamano baina ya walimu, wazazi, wanafunzi na uongozi wa elimu katika kuhakikisha watoto wanapata elimu bora na yenye tija.

Matangazo

  • NAFASI ZA KUJITOLEA HALMSHAURI YA WILAYA YA RUANGWA February 13, 2026
  • FOMU YA USAJILI WA WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI February 02, 2026
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 25, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • NGUVU YA HAZINA YA MADINI INAYOBADILI HATIMA YA WANARUANGWA

    February 11, 2026
  • NGUVU YA HAZINA YA MADINI INAYOBADILI HATIMA YA WANARUANGWA

    February 11, 2026
  • ASHALONGO FC VS KIBWANA FARM FC, HAKUNA MBABE

    February 08, 2026
  • RAS LINDI AWAHIMIZA MAAFISA HABARI KUIMARISHA UHUSIANO NA VYOMBO VYA HABARI

    February 05, 2026
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)
  • Watumishi Portal

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa