Kuelekea mapokezi ya Mwenge wa Uhuru wilayani Ruangwa, Mkuu wa Wilaya Mhe. Hassan Ngoma ameongoza Jogging ya hamasa ya Mwenge wa Uhuru leo Mei 25, 2024 na kutoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki kikamilifu mapokezi na sherehe za Mwenge wa Uhuru Mei 28, 2024 ili kuwa vinara kiwilaya, kimkoa na hatimaye kitaifa.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa