• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

MKUU WA WILAYA YA RUANGWA AONGOZA DUA YA KULIOMBEA TAIFA KIWILAYA

Posted on: April 22nd, 2024

Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wenye kauli mbiu "Tumeshikamana na tumeimarika kwa maendeleo ya Taifa" Mkuu wa Wilaya Mhe. Hassan Ngoma aongoza zoezi la dua ya kuliombea Taifa kiwilaya leo Aprili 22, 2024 katika viwanja vya Wandorwa wilayani Ruangwa ikiongozwa na viongozi wa dini zote.


Aidha Mhe. Ngoma ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuliombea Taifa pamoja na viongozi wake katika maeneo mbalimbali


"Mapungufu ni sehemu ya binadamu, viongozi si Malaika hivyo tunapaswa kuendelea kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu viongozi wetu awazidishie uadilifu, waongoze nchi yetu kwa haki, wasiwe wabadhilifu na wasiwe viongozi wa kutoa au kupokea rushwa" Amesema Ngoma


Aidha Mhe. Ngoma ameendelea kwa kusema kuwa misingi ya Taifa la Tanzania haipaswi kuchezewa wala kutingishwa kwani Mataifa mengi yanajifunza misingi ya Taifa kupitia Tanzania na ni kutokana na amani, umoja na mshikamano katika nchi hiyo.


" Kwa misingi ya Taifa iliyotengenezwa na waasisi wetu hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Sheik Abeid Aman Karume kwa yeyote anayedhani kwamba amani ya Tanzania itatetereka anapaswa kufikiri upya na asilitegemee hilo kwani amani ya Tanzania itadumu milele"


Katika hatua nyingine mwakilishi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nachingwea Mheshimiwa Mahmoud Sadick ameishukuru Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuifanyia mambo makubwa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA RUANGWA AHIMIZA USAFI NA MAZOEZI KWA AJILI YA AFYA BORA

    May 10, 2025
  • SMAUJATA YAENDESHA ELIMU DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA KWA WASICHANA RUANGWA

    May 09, 2025
  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa