Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Mhe. Hassan Ngoma, amepokea cheti cha pongezi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, mara baada ya kumalizika kwa pambano la PMBET Ngumi Kitaa.
Cheti hicho kimetolewa na promota wa mashindano hayo, Mopao Entertainment, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa Serikali katika kukuza michezo nchini.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa