Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Ndugu Frank Fabian Chonya, akijaribu kuendesha trekta moja kati ya matano yaliyokabidhiwa na Wizara ya Kilimo kwa Halmashauri hiyo katika hafla iliyofanyika leo Februari 22, 2025, kwenye viwanja vya Stendi ya Nandagala, wilayani Ruangwa.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa