• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

MHE. TELACK AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA MAANDALIZI YA MAONESHO YA MADINI LINDI

Posted on: April 4th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainab Telack, ameongoza kikao cha kwanza cha maandalizi ya Maonesho ya Madini kimkoa kilichofanyika leo Aprili 4, 2025, katika ukumbi wa hoteli ya Ruangwa Pride, wilayani Ruangwa.


Kikao hicho kimewakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya madini wakiwemo wachimbaji, wakuu wa vitengo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa (RS), Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri na Manispaa, wakuu wa taasisi mbalimbali pamoja na wajumbe wa kamati za ulinzi na usalama kwa lengo la kupanga kwa pamoja maandalizi ya maonesho hayo.


Aidha, Mhe. Telack ameeleza kuwa maandalizi hayo ni muhimu kwa ajili ya kuhakikisha maonesho yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya madini vilivyopo wilayani Ruangwa mkoani Lindi yanakuwa na mafanikio makubwa, huku akisisitiza ushirikiano wa pamoja kutoka kwa wadau wote.


“Maonesho haya ni fursa muhimu ya kuonesha rasilimali zetu za madini, kuwavutia wawekezaji na kuinua uchumi wa wananchi wetu, ni wajibu wa kila mdau kushiriki kikamilifu ili kuhakikisha tunapata mafanikio tunayoyatarajia,” amesema Mhe. Telack.

Kwa upande wao, Wadau wa madini wameeleza utayari wao kushiriki kikamilifu katika maandalizi hayo, huku wakiahidi kutoa ushirikiano wa karibu kwa Serikali ili kufanikisha maonesho hayo ambayo yanatarajiwa kuinua uchumi wa wachimbaji na Mkoa kwa ujumla.


Maonesho ya madini Mkoa wa Lindi yanatarajiwa kufanyika tarehe 11 Juni, 2025, yakiwakutanisha wachimbaji, wawekezaji na taasisi za kifedha, kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kuonesha teknolojia mpya pamoja na kukuza fursa za uwekezaji katika sekta ya madini, ambapo mwaka huu kunatarajiwa kufanyika mnada mkubwa wa madini.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA RUANGWA AHIMIZA USAFI NA MAZOEZI KWA AJILI YA AFYA BORA

    May 10, 2025
  • SMAUJATA YAENDESHA ELIMU DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA KWA WASICHANA RUANGWA

    May 09, 2025
  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa