Maonesho ya Madini Mkoa wa Lindi mwaka 2025 yanatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 11 hadi 14 Juni katika viwanja vya madini wilayani Ruangwa, yakihusisha wachimbaji, wachenjuaji, wawekezaji, taasisi za kifedha na wadau wengine kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kuonesha teknolojia za kisasa, na kukuza fursa za uwekezaji—ikiwemo kufanyika kwa mnada mkubwa wa madini na vito.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa