• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA YATAMATIKA RUANGWA

Posted on: January 22nd, 2025

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Ruangwa, Ndugu Frank Fabian Chonya, amefunga rasmi mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata leo Januari 22, 2025, mafunzo hayo yanalenga kuimarisha maandalizi ya utekelezaji wa zoezi hilo.


Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo, Ndugu Chonya anatoa wito kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi kuendelea kupitia na kusoma maelekezo waliyopewa ili kuhakikisha uelewa wa majukumu yao unaimarika zaidi.


“Mafunzo na maelekezo mliyopewa ni zana muhimu za kufanikisha majukumu yenu, hivyo mnatakiwa kuyafuatilia kwa makini ili kuhakikisha ufanisi wa zoezi hili,” amesema Ndugu Chonya.


Aidha, Ndugu Chonya pia amehimiza ushirikiano wa karibu kati ya Maafisa Waandikishaji na Tume, akibainisha kuwa masuala yoyote ya kiutekelezaji yanapaswa kufafanuliwa ipasavyo kwa kushirikiana na Tume.


“Tume imetekeleza jukumu lake kupitia hatua ya mafunzo, na sasa ni wajibu wenu kuhakikisha utekelezaji wa majukumu yenu unafanyika kikamilifu,” amesisitiza Ndugu Chonya.


Hata hivyo, Mafunzo hayo ni sehemu ya maandalizi ya kuhakikisha kuwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linakamilika kwa ufanisi na kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa na Tume.


Wadau mbalimbali wanahimizwa kushirikiana kuhakikisha kuwa hatua hiyo inaleta mafanikio makubwa kwa maendeleo ya kidemokrasia katika Wilaya ya Ruangwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA 17.11.2025 November 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 25, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III August 09, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • HOSPITALI YA WILAYA YA RUANGWA YAPATA USAJILI KWA MAFUNZO ENDELEVU YA KITAALUMA (CPD)

    November 20, 2025
  • MHE NGOMA AWAPONGEZA NMB KWA KUIPANDISHA THAMANI YA KOROSHO KWA WANANCHI WA RUANGWA

    November 18, 2025
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA LISHE KITAIFA 2025

    November 15, 2025
  • MAAFISA UTAMADUNI WAKUTANA NA WALAMBO, NGARIBA NA WAMILIKI WA VIWANJA VYA JANDO NA UNYAGO

    November 14, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)
  • Watumishi Portal

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa