Wananchi kutoka Wilaya ya Ruangwa, Nachingwea na Liwale wamejitokeza kwa wingi kushiriki Ufunguzi wa Mafunzo ya Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya mwaka 2022 kwa Viongozi, Watendaji na makundi mbalimbali.
Ufunguzi huo umefanyika leo Julai 2, 2024 katika viwanja vya Kilimahewa wilayani Ruangwa, mkoani Lindi ambapo mgeni rasmi amekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa