• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

KUSHINDWA KUMTUNZA MTOTO NI KOSA KISHERIA

Posted on: January 26th, 2023

Ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya sheria nchini, Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, imeanza utaratibu wa kupita katika tarafa za wilaya hiyo ili kutoa elimu ya masula ya kisheria kwa wananchi.

Akizungumza na wananchi wa Tarafa ya mandawa wilayani humo januari 26 mwaka huu,Afisa wa jeshi la polisi kutoka Dawati la Jinsia Afande CPL Mpokigwa Mwamulangala, aamewaeleza wananchi wa tarafa hiyo kuwa ni kosa kisheria kwa wanaume waliokua na tabia za kuzaa na wenzi wao kisha kutokutoa huduma kwa Watoto jambo linalopelekea ongezeko la Watoto wasiokuwa na makazi maalumu.

Afande Mpoki amesema dawati la jinsia jeshi la polisi wilaya ya Ruangwa limekua likipokea malalamiko mengi hasa ya akina mama kulalamikia wazazi wenzao kutokuwapa huduma Watoto pindi wanapoachana.

“kumekua na malalamiko mengi ambayo tumekua tukiyapokea hasa ya akina mama wanakuja wakiwa wameachana na wanaume zo na mbaya Zaidi wanaume hao hawatoi huduma za malezi kwa Watoto wao hilo ni kosa kisheria ndugu zangu” alisema Afande Mpoki alipokua anazungumza na wananchi wa Tarafa ya Mandawa.

Akisisitiza juu ya uwapo wa malalamiko kuachiwa Watoto na kuwalea peke yao kwa akina mama wilayani humo, Mwinyi Madi ambae ni afisa ustawi wa jamii anaepokea malalamiko ya wananchi kuhusu Malezi na changamoto mbali mbali za kifamilia, amekiri kuwapo kwa wimbi kubwa la wanawake wanaofika katika ofisi ya malalamiko wilayani humo ambapo wengi wao wanakabiliwa na changamoto ya kutokusaidiwa kuduma za maelezi kwa Watoto na wazazi wenzi wao.

“yaani pale ofisini kila siku ukifika kesi nyingi ni za akina mama kutosaidiwa huduma za malezi ya Watoto na wanaume waliozaa nao” alisema Mwinyi.

Mariam Mchonda ambae ni Hakimu Mfawidhi mkazi wa mahakama ya wilaya ya Ruangwa, amesema kutokana na kuwapo kwa changamoto hizo ndio maana katika wiki ya sheria wanapita katika kila tarafa kwa lengo la kuisaidia jamii kujua sheria mbali mbali ili iwe rahisi kufuatilia haki zao za kisheria pale wanapohisi hazijawafikia.

Wiki ya sheria ilianza januari 22 mwaka huu ambapo inategemewa kuhitimishwa mwanzoni mwa mwezi Februari katika mahakama ya wilaya Ruangwa

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA RUANGWA AHIMIZA USAFI NA MAZOEZI KWA AJILI YA AFYA BORA

    May 10, 2025
  • SMAUJATA YAENDESHA ELIMU DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA KWA WASICHANA RUANGWA

    May 09, 2025
  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa