Viongozi mbalimbali kutoka Wilaya na Mikoa ya Kanda ya Kusini wakishiriki kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, linalofanyika leo, Machi 6, 2025, katika viwanja vya Maegesho, wilayani Nachingwea, mkoani Lindi.
Maadhimisho hayo ni jukwaa la kujadili mchango wa wanawake katika maendeleo na kuhamasisha usawa wa kijinsia katika jamii.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa