Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Ndugu Godfrey Mzava amepitia na kukagua mradi wa kilimo, hifadhi na ufugaji wa kikundi cha Jikomboe( Lishe) katika kijiji cha Nkowe Kata ya Nkowe leo Mei 28, 2028 ambao umegharimu zaidi ya Milioni 8.4 za Kitanzania.
Mradi umejumisha kilimo cha mbogamboga kama vile mchicha ng'oa, Chinese, maharage, viazi lishe pamoja na kilimo cha ndizi za kisasa.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa