Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Ndugu Godfrey Mzava amepitia na kukagua mradi wa kikundi cha vijana cha ujenzi na ufundi seremala ( UKAJE) katika Kijiji cha Kilimahewa Kata ya Ruangwa wilayani Ruangwa leo Mei 28, 2028 ambao umegharimu zaidi ya Milioni 8.4 za Kitanzania.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa