Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Godfrey Mnzava atembelea na kukagua mradi wa mpango wa matumizi bora ya ardhi na uhifadhi wa mazingira katika Kijiji cha Chimbila "A" kilichopo Kata ya Mnacho Wilaya ya Ruangwa leo Mei 28, 2024.
Aidha Ndugu Mnzava amegawa cheti na hati ya mpango wa matumizi bora ya ardhi kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji Ndugu Seleman Ng'itu na kutoa wito kwa viongozi na wananchi kuhakikisha maeneo ambayo yametengwa kutumika kwa matumizi ambayo kijiji yamepanga.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa