Maonesho ya Madini Mkoa wa Lindi 2025 yanazinduliwa leo, Juni 11, katika viwanja vya madini wilayani Ruangwa – yakikusanya Wilaya na taasisi mbalimbali kutangaza fursa za uwekezaji zinazopatikana mkoani Lindi.
Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inawakaribisha wananchi, wawekezaji na wadau wote kutembelea banda lao kujionea fursa zilizopo katika sekta ya madini, kilimo na uvuvi, ardhi, biashara na viwanda pamoja na utalii.
Karibu Ruangwa – kitovu cha fursa za maendeleo Lindi!
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa