• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

KAMATI YA FEDHA YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI MBALIMBALI RUANGWA

Posted on: May 16th, 2024

Kamati ya Fedha ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Mhe. Andrew Chikongwe yafanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyopo katika Wilaya ya Ruangwa leo Mei 16, 2024.


Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa choo matundu 12 katika Shule ya Sekondari Nambilanje, ujenzi wa Zahanati ya kijiji cha Nanjaru Kata ya Nambilanje ambayo imejengwa kwa hatua ya boma kwa nguvu za wananchi, ujenzi wa vyoo katika Shule ya Msingi Mbuyuni Kata ya Namichiga, ujenzi wa kituo cha Afya Namichiga ambacho kipo kwenye hatua ya umaliziaji, ujenzi wa choo katika Shule ya Msingi Chibula Kata ya Chibula, ujenzi wa majengo ya Zahanati ya Muhuru iliyopo Kata ya Chibula, kukagua mabwawa ya kufugia samaki katika kijiji cha Nahanga na ujenzi wa shule shikizi Chiwime Kata ya Mandawa.


Aidha, Mhe. Chikongwe amewataka wazabuni wa miradi hiyo kuhakikisha wanamaliza kwa wakati ili iweze kuanza kutumika kwani wananchi wanahitaji kunufaika na Maendeleo ya Wilaya yao.


Kwa upande mwingine, Mhe. Chikongwe amewapongeza wananchi kwa ushirikiano wao na Serikali katika kufanya mambo mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Ruangwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA 27 MEI 2025 May 27, 2025
  • Ona zote

Habari mpya

  • ZIMA MOTO WAENDESHA MAFUNZO YA TAHADHARI YA MAJANGA KWA WATUMISHI RUANGWA

    July 15, 2025
  • MAAFISA MIFUGO RUANGWA WAPATIWA MAFUNZO KUELEKEA ZOEZI LA UCHANJAJI WA MIFUGO

    July 11, 2025
  • MAAFISA MIFUGO RUANGWA WAPATIWA MAFUNZO KUELEKEA ZOEZI LA UCHANJAJI WA MIFUGO

    July 11, 2025
  • PONGEZI

    July 11, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)
  • Watumishi Portal

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa