• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Bilioni 32.1 zapitishwa Bajeti ya H/W Ruangwa Mwaka wa fedha 2023/24

Posted on: January 20th, 2023

Baraza la madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, limepitisha Bajeti ya kiasi cha shilingi Bilioni thelathini na mbili milioni mia moja na saba laki saba na themanini na tatu elfu (32,107,783,000/=) kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024.

kwa mujibu wa taarifa ya kaimu Afisa Mipango Patson Masamalo aliemwakilisha mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, alipokuwa akiwasilisha bajeti hiyo amesema, fedha hizo zinakwenda kutumika katika maeneo mbali mbali ikiwamo, Mishahara ya watumishi,Matumizi mengineyo pamoja na Miradi ya maendeleo.

Wakichangia hoja baadhi ya madiwani na wajumbe waliohudhuria baraza hilo, katibu wa mbunge wa Jiimbo la Ruangwa, Kasambe Hokororo ameshauri ili mapato ya ndani yaongezeke ni vema kuongezwa kwa magaeti ya ukusanyaji mapato katika mipaka ya halamshauri ya aruangwa na halmashauri jirani akitolea mfano uvushaji wa mapato yanayokosekana katika mipaka ya kijiji cha nambilanje na nanjilinji ambapo hakuna kizuizi cha kukusanyia mapato.

" Halmashauri inafanya kazi vizurilakini nashauri maeneo ya mipaka yaongezwe vizuizi vya kuusanyia mamapto ili bajeti iweze kukamilika katikaukusanyaji wa mapato ya ndani, maan mapato mengi yanakosekana kwakua hakuna wakuanyaji hata kule nambilanje kwenda nanjilinji hakuna kizuizi ya ukusanyaji mapato" alisema kasambe alipokua anachangia katika baraza hilo.

Aidha katika hatua hiyo madiwaiwani wakiwamo Shabani kambona, Mosa mtojela na Rashidi Lipei wakahimiza bajeti kutekelezwa kwa mujibu wa maagaizo ya serikali ikiwamo fedha zilizotengwa za vijiji kiasi cha shilingi laki mbili katika kila robo ya mwaka zifike vijijini ili zikafanye maendeleo ya vijiji kama ilivyoagizwa na serikali, huku mkuu wa wilaya Hassan Ngoma akisisitiza kuwa fedha hizo lazima zipelekwe kwakua ni agizo la serikali na kwamba katika baraza linalofuat lazima ielezwe imefikia hatua gani kama zimeshapelekwa ama laa.

"kwakua ni agizo la serikali maana yake fedha hizo ni lazima zipelekwe katika vijiji na sio swala la hiari hivyo naagiza baraza lijalo tuletewe taarifa ya utathmini ni vijiji vingapi vishapelekewa fedha zake na vingapi havijapelekewa hizo fedha na kwa nini?" alisema Ngoma ambae ni mkuu wa wilaya ya Ruangwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA November 08, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAHUDUMU WA AFYA 872 KWA NGAZI YA JAMII HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA July 09, 2024
  • TANGAZO LA AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA August 01, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA March 13, 2023
  • Ona zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA RUANGWA AHIMIZA USAFI NA MAZOEZI KWA AJILI YA AFYA BORA

    May 10, 2025
  • SMAUJATA YAENDESHA ELIMU DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA KWA WASICHANA RUANGWA

    May 09, 2025
  • BURIANI

    May 07, 2025
  • MHE. MAJALIWA AAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO RUANGWA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    May 03, 2025
  • Ona zote

Video

MAENDELEO YATAKUJA KWA KULIPA USHURU, TOZO NA ADA ZA HALMASHAURI. MWANANCHI LI0A KODI KWA MAENDELEO YETU
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa