Kupata salary slip nenda kwenye link ya Tovuti muhimu halafu bonyeza Salary Slips Portal ili uweze kujisajili, kama unahitaji msaada namna ya kujisajili ili kuweza kupata salary slip yako wasiliana na ofisi ya TEHAMA ili wakusaidie bila gharama yeyote.
Zingatia yafuatayo:
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa