Tuesday 21st, January 2025
@
Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kupokelewa katika kijiji cha Nanganga,kata ya Nanganga Wilayani Ruangwa tarehe 23/05/2017 ukitokea Halmashauri ya Manispaa ya Lindi . Mwenge huo utakimbizwa Wilayani Ruangwa kuanzia tarehe hiyo ya 23/05 hadi 24/05/2017 . Mwenge wa uhuru 2017 utakabidhiwa kwa uongozi wa Wilaya ya Nachingwea tarehe 24/05/2017 katika kijiji cha Mkoka.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa