Tuesday 21st, January 2025
@Mtwara
Maafisa Habari na Tehama kutoka mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma , wanapata mafunzo ya upigaji bora wa picha ambayo yanatolewa na waatalam kutoka Serikali mtandao kwa kushirikiana TAMISEMI na PS3 yanayofanyika katika hotel ya Tiffany Diamond Mjini Mtwara.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa