Monday 30th, December 2024
@Hospital ya Wilaya
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa anawataarifu wananchi wa Ruangwa kuwa kutakuwa na huduma ya upasuaji wa ugonjwa wa mtoto wa jicho. utakaofanyika katika hospital ya Wilaya ya Ruangwa kwa muda wa siku tano kuanzia kesho tareh 28/07/ mpaka 01/08/2018.
Upasuaji huu utafanywa na madaktari bingwa kutoka Dar es Salaam na Huduma hii itapatikana bure kabisa.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa