• Anuani zetu |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Ruangwa District Council
Ruangwa District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Usafi na Mazingira
      • Kata
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Tehama
    • Kata
      • Nandagala
      • Mbekenyera
      • Likunja
      • Mnacho
        • Nangumbu
      • Malolo
      • Nachingwea
      • Ruangwa
      • Makanjiro
      • Mbwemkuru
      • Narungombe
      • Nangumbu
      • Luchelegwa
      • Chinongwa
      • Mandawa
      • Chunyu
      • Matambarale
      • Nkowe
      • Nambilanje
      • Nanganga
      • Namichiga
      • Mandarawe
      • Chibula
      • Chienjele
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
  • Huduma
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Mradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi ya Afya
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Videos
    • Hutuba
    • Albamu ya Picha
    • Habari
    • Tukio
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari

Lucas maria kuanza kudahili wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu

Posted on: May 26th, 2020

Naibu katibu Mkuu Tamisemi Gerald Mweli anaeshughulika na masuala ya Elimu ameagiza Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa kukamilisha miundombinu katika shule ya Lucas Maria  ili iweze kupokea wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu.

Amesema hayo Leo 26/05/2020 wakati wa ziara yake ya kikazi Wilaya ya Ruangwa inayolenga kukagua miundombinu katika shule za mkoa wa lindi na maandalizi ya kupokea kidato cha sita ifikapo june 01/06/2020.

Naibu Mweli alitoa pongezi kwa ujenzi mzuri wa miundombinu  katika shule ya Lucas Maria ambayo kwasasa shule hiyo ya Wasichana inatumika kwa wanafunzi  wa kidato cha kwanza tu.

“Shule nzuri sana hii mwaka huu naleta wanafunzi wa kidato cha tano, Mkurugenzi hakikisha unamaliza hayo mambo madogo madogo yaliyobakia, hii shule inasifa ya kuwa na kidato cha tano” amesema Mweli

“Siwezi kuacha watoto wetu wanakosa shule wakati tuna majengo mazuri sana hapa Lucas Maria vitu vilivyobaki ni vidogo sana muanze taratibu za kuomba usajili mtapokea kidato cha tano mwaka huu” amesema

Naibu katibu Mweli aliendelea kusisitiza suala la ushirikishwaji wa wananchi katika ujenzi wa miundombinu inayoendelea sasa katika Wilaya

“Zipo kazi ambazo wananchi wakihamasishwa wanaweza kuanza hata kabla fedha za ujenzi hazijaingizwa, hili likifanyika itakuwa rahisi kumaliza shughuli miradi inayoendelea” alisema

Vile vile aliagiza shule ya mbekenyera kutumia fedha za ukarabati wa miundombinu ya shule zinazopelekwa na Serikali  kwa ajili ya kununua vifaa vikubwa vya kuhifadhia maji katika shule hiyo

“Maji ni uhai na maji ni muhimu hii shule inapaswa uwe na maji mpaka kwenye mabweni hizo fedha ambazo ziliingizwa kipindi hiki cha mapumziko zitumike kwa ajili ya kununua vifaa vya kutosha kuhifadhi maji hapo shule kwa kuzingatia sheria za matumizi ya fedha hizo” amesema


MWISHO

Matangazo

  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZOTE ZA WILAYA YA RUANGWA 2021 December 17, 2020
  • TANGAZO LA KUUZA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA May 25, 2018
  • Tangazo la ujenzi wa hospitali ya Wilaya wodi ya wazazi January 21, 2019
  • matokeo ya kidato cha nne 2018 January 24, 2019
  • Ona zote

Habari mpya

  • DC awataka watendaji kukamilisha miradi ya elimu

    December 24, 2020
  • Wafugaji acheni ubabe- Mhe Ndaki

    December 22, 2020
  • RC aagiza kumalizwa kwa mgogoro wa aridhi Mbute na Nangurugai

    December 17, 2020
  • DC Afanya ukaguzi wa vyumba vya madarasa mapya

    December 16, 2020
  • Ona zote

Video

RAIS MAGUFULI AZINDUA UJENZI WA FLY OVER UBUNGO
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Mpango wa Bajeti 2017/2018(MTEF)

Kurasa zinazofanana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • BARAZA LA MITIHANI

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Anuani zetu

    Ruangwa

    Anuani ya Posta: S.L.P 51

    Simu ya Mkononi: 0732932312

    simu: 0732932312

    Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Usiri
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa