Wizara ya Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Akira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama kwenye kilele cha mbio maalumu za mwenge kitaifa cha mwaka 2021 na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere
Ameitaja wilaya ya Ruangwa iliyopo mkoani Lindi kuwa mshindi wa mbio za mwenge wa uhuru kikanda, ikizishinda wilaya zilizopo mkoa wa pwani, mtwara, kigoma, katavi na rukwa ambazo kwa pamoja ziliwekwa kwenye kanda ya nne Kati ya kanda tano.
Ruangwa
Anuani ya Posta: S.L.P 51
Simu ya Mkononi: 0732932312
simu: 0732932312
Barua pepe: ded@ruangwadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa